jamani ukitaka kujua ubaya wa mapenzi, anzisha mahusiano ofisini maana ni sawa na kujifunga bomu kichwani ukisubiri likulipukie wakati wowote!
mahusiano kazini yasipoathiri utendaji wako (kama vile kutoa upendeleo maalum kwa mpenzi, kutumia muda wa kazi kwa ajili ya mambo binafsi na mpenzi nk) na kukusababishia matatizo kazini, basi mahusiano yakivunjika pia ni balaa jingine, visa, visasi, chuki vinatawala na kufanya mazingira ya kazi kuwa magumu.
tuchukue tahadhari...
kuna binti hapa ofisini yupo idara tofauti kabisa na yangu,
niko ghorofa ya nne yeye ya kwanza,
je kuna ubaya nikizamisha kwenye dimbwi la mapenzi na binti huyu?
ha ha haaa, naona ZD umetoa from bible's point of view.Pengine muwe wawazi zaidi,mngesema uasherati na uzinzi kazini ni sumu.Lakini ukisema mapenzi sidhani kama ni sahihi,vp kama ukiwa na mke au mme hata mchumba hapo kazini,sumu inatoka wapi?
,
je kuna ubaya nikizamisha kwenye dimbwi la mapenzi na binti huyu?
Jamani ukitaka kujua ubaya wa mapenzi, anzisha mahusiano ofisini maana ni sawa na kujifunga bomu kichwani ukisubiri likulipukie wakati wowote!
Mahusiano kazini yasipoathiri utendaji wako (kama vile kutoa upendeleo maalum kwa mpenzi, kutumia muda wa kazi kwa ajili ya mambo binafsi na mpenzi nk) na kukusababishia matatizo kazini, basi mahusiano yakivunjika pia ni balaa jingine, visa, visasi, chuki vinatawala na kufanya mazingira ya kazi kuwa magumu.
Tuchukue tahadhari...
Mapenzi kazini ni sumu na haitakiwi imagine unaweza kuwa PS wa boss na mkawa katika malav davi inatokea wageni wa kike wakiingia unanuna Presha inapanda presha inashuka na kazi inakushinda
mahusiano hayo si mazuri hata kidogo ..mnakosa uhuru ,pia utendaji wa kazi unaweza kuwa sio mzuri ...kula nanasi kunahitaji nafasi