Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

sa tutaepukaje hako kaugonjwa mkuu? Ndo swali la kujiuliza!


ukiisoma kwa umakini hiyo habari imeandikwa zaidi kutisha watu!!!!!!!!!!!

ngoja nirudi shule kwenye medical journals labda nitapata cha maana , ila hii habari imepambwa na kurembeshwa kwa malengo fulani ambayo siyo ya kisayansi......
 
Mapenzi kwa mdomo husababisha maradhi

Dk Mwakigonja anasema kuwa mapenzi yoyote kwa njia ya mdomo lazima yasababishe maradhi ya zinaa iwapo mmoja ameambukizwa. Pia anasema kwamba sampuli nyingi za wanaume wanaojihusisha na mapenzi na wanaume wenzao (mashoga) zilibainika na saratani ya mdomo. Utafiti huo ni sehemu ya utafiti wa Shahada ya Uzamivu ambao ulionyesha kuwa wagonjwa wengi wa saratani ya mdomo walikuwa ni wanaume wenye umri wa miaka kati ya 38 na kuendelea na wanawake ni 31.


Hapo kwenye rangi nyekundu ndipo kwenye ukweli wenyewe. Haiwezekani wanawake wote wawaambukize wanaume kansa ya mdomo. Inategemea na mwanamke mwenyewe anajitunzaje, kemikali anazotumia haswa wakati wa kujiswafi K na mambo mengine kama hayo.

Vinginevyo sisi tungekuwa tumefutika kwenye uso wa dunia kwa kuwa chakula hicho ni diet ya kawaida kabisa.
 
aaagh mtuache tupate raha kwa raha zetuuu...

chumvini oyeeeeeeeee
 
Duh jamani kumbe tuache kuigaiga mamboz ya kulambaaaaaaaaaaa. japokuwa kuna raha pale ila side effect ni kubwa sana jamani. hebu tujuze dalili za hako kadisease tukae mkao wa kuelewa kwa kina. maana mmh majangaaaa haya!
 
mh! kuwekana king kuko kwa namna nyingi, hii ya mdomo kwa V & P ni mbaya ndo hivyo. Ni bora kuchagua kimoja Ugonjwa ama Raha
 
Kuna wale wanaoapa kwamba bila kuzama chumvini hawapati utamu wowote wa mapenzi. Hii ina wahusu. Nasema tena hii inawahusu!

Madaktari wameendelea kutoa tahadhari kwamba kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo wenyewe wanaita oral sex, inaongeza sana hatari ya kupata kansa ya koo. Hii inasababishwa na kupata maambukizi ya aina fulani ya virusi wanaitwa kwa kitaalam Human Papilloma Virus type 16 (HPV-16). Kwa mfano nchini Marekani kuna visa vipya 9000 vya wagonjwa wenye kansa ya koo ambao husababisha na virusi hawa kila mwaka!

Virusi hawa husababisha pia kansa ya shingo ya kizazi. Wanasayansi wameonya kwamba ikiendelea spidi hii baadae wagonjwa wenye kansa ya koo watazidi wale wenye kansa ya shingo ya kizazi.

Hatari kubwa iko kwa wale ambao wana wapenzi wengi, kule kuonja huku na huku , huwezi jua virusi utavipata kutoka kwa nani. Hata hivyo hatari iko chini kidogo kwa wanawake kulinganisha na wanaume.

Pia matumizi ya sigara yanaongeza uwezekano wa kupata kansa.

Kazi kwenu sasa, kusuka ama kunyowa.
 
Wapiga deki hatutishiki na matangazo yenu kauli mbiu piga deki mpaka papuchi ione wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…