we hujui kama mapenz yametawala dunia?Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread zenye debate kali zinachangamkiwa, naomba nisaidiwe kwa kinachosababisha hizo snerio mbili iwe hivyo, hasa Tread za mapenzi why ?
hajui pia kama watu wengi hatupendi kujipa stress.we hujui kama mapenz yametawala dunia?
we hujui kama mapenz yametawala dunia?
Bila mahusiano hakuna urafiki
Bila urafiki hakuna mapenzi ya kweli
Bila mapenzi hakuna kuzaa
Bila kuzaa hakuna binadamu
Bila binadamu hakuna majukwaa yote
Yaliyo bakia.... MMU ndio moyo
Wa JAMII FORUM ... mmmhhh mwili
bila moyo hauna kazi...
Bila mahusiano hakuna urafiki
Bila urafiki hakuna mapenzi ya kweli
Bila mapenzi hakuna kuzaa
Bila kuzaa hakuna binadamu
Bila binadamu hakuna majukwaa yote
Yaliyo bakia.... MMU ndio moyo
Wa JAMII FORUM ... mmmhhh mwili
bila moyo hauna kazi...
Ahahahahah lol bila mapenzi hakuna dini..Bila mapenzi hakuna siasa.
Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread zenye debate kali zinachangamkiwa, naomba nisaidiwe kwa kinachosababisha hizo snerio mbili iwe hivyo, hasa Tread za mapenzi why ?
Mmhh umependa aeeeTHTHTHTTHHHHHHHHHheeeeee:caked:
Bila mahusiano hakuna urafiki
Bila urafiki hakuna mapenzi ya kweli
Bila mapenzi hakuna kuzaa
Bila kuzaa hakuna binadamu
Bila binadamu hakuna majukwaa yote
Yaliyo bakia.... MMU ndio moyo
Wa JAMII FORUM ... mmmhhh mwili
bila moyo hauna kazi...