Mapenzi mengine bwana!

Mapenzi mengine bwana!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi unasikia mtu akisema na mpenda fulani wakati ana mpenzi wake je hapo anakuwa anampenda?? au anamtaka??au anamtamani???
Kumpenda mtu nivipi?na kumtaka mtu nivipi?,nakutamani mtu nivipi?
 
Kuwa na mahusiano na mtu
Haikuzii kupenda mwingine

Inawezekana niko kwenye mahusiano hayo na huyo mtu
Sababu simba alizidiwa, akala ugali.:lol:
 
Hivi unasikia mtu akisema na mpenda fulani wakati ana mpenzi wake je hapo anakuwa anampenda?? au anamtaka??au anamtamani???
Kumpenda mtu nivipi?na kumtaka mtu nivipi?,nakutamani mtu nivipi?
Hivi vitu kupenda na kutamani vinaenda sambamba, huwezi kumtamani mtu kama humpendi na nivigumu sana kumtaka mtu usiyempenda, ila unaweza kujizuia kumtaka mtu hata kama umempenda na kumtamani na kuwa na mpenzi wako haimaanishi huwezi kumpenda mtu mwingine ishu hapa ni kujitahidi kujizuia kumtaka mtu ilihali una mpenzi wako. Mda si mrefu nimepita hapa IFM nikawa nimekapenda kabint fulani hii ikapelekea kukatamani lakini nimejizuia kukataka........:majani7:
 
Si kila mtu na mpenzi wake wanapendana...wengine ni burudani tu, au hela au kulazimika,bahati mbaya( umempa mimba mtu ukalazimishwa umuoe),umefumaniwa ukafungishwa ndoa ya mkeka etc....!
 
Kupenda ni neno pana sana................

Na hayo yote kumpenda, kumtaka, kumtamani yanakwenda sambamba
sawia huwezi mpenda mtu usimtamani. Mfano kiduchu tu hapa una mume
wako siku hiyo kavaa vizuri kapendeza mnatoka matembezi ya jioni kila
ukimuangalia unatamani usiache na wakati huo huo unampenda.............
..hivi vitu ni kama uji na mgonjwa
 
nakutamani..............
 
Si kila mtu na mpenzi wake wanapendana...wengine ni burudani tu, au hela au kulazimika,bahati mbaya( umempa mimba mtu ukalazimishwa umuoe),umefumaniwa ukafungishwa ndoa ya mkeka etc....!
hswaaa,haya yanaweza kuchangia kupenda,kutamani na hata kumtaka mtu mwingine
 
Unaweza ukawa na mpenzi lakini ukavutiwa na m2 mwingine na ukajiwa na hisia za kumpenda, ukatamani awe wako nk. m2 anaweza akawa na vitu fulani (mwonekano,tabia nk) ambavyo unavitamani kwambwa mwenzi wako awe navyo kutokea hapo unajenga hali ya kumpenda. Kumtaka m2 hakuna uhusiano na kumpenda, Unasukumwa na hitaji la wakati huo mf unataka kujua kundi fulani lina tabia zipi wakati wa kudo so mnamtokea 2 kudadisi na si kwamba unampenda.
 
Kupenda ni kumjari mtu, kuwa kama sehemu yake. kwa hiyo kupenda haina ukomo unaweza ukampenda mtu furani kwa sababu furani, furani. So kupenda ni jambo pana sana.
Kumtaka mtu: hii inategemea unaweza ukamtaka mtu na hujampenda. Kumtaka mtu eidha kimapenzi au kuwa karibu naye kwa sababu furani furani.
Kumtamani mtu: Ni kutaka kujua kitu furani kwake eitha kinachomfanya awe hivyo. Unaweza ukamtamani mtu kwa kuona makalio yake, na sasa unataka ujue zaidi makalio yake.

Kumpenda mtu hakuna ukomo ila umempenda kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom