Hivi vitu kupenda na kutamani vinaenda sambamba, huwezi kumtamani mtu kama humpendi na nivigumu sana kumtaka mtu usiyempenda, ila unaweza kujizuia kumtaka mtu hata kama umempenda na kumtamani na kuwa na mpenzi wako haimaanishi huwezi kumpenda mtu mwingine ishu hapa ni kujitahidi kujizuia kumtaka mtu ilihali una mpenzi wako. Mda si mrefu nimepita hapa IFM nikawa nimekapenda kabint fulani hii ikapelekea kukatamani lakini nimejizuia kukataka........:majani7:Hivi unasikia mtu akisema na mpenda fulani wakati ana mpenzi wake je hapo anakuwa anampenda?? au anamtaka??au anamtamani???
Kumpenda mtu nivipi?na kumtaka mtu nivipi?,nakutamani mtu nivipi?
Kupenda ni neno pana sana................
Na hayo yote kumpenda, kumtaka, kumtamani yanakwenda sambamba
sawia huwezi mpenda mtu usimtamani. Mfano kiduchu tu hapa una mume
wako siku hiyo kavaa vizuri kapendeza mnatoka matembezi ya jioni kila
ukimuangalia unatamani usiache na wakati huo huo unampenda.............
..hivi vitu ni kama uji na mgonjwa
hswaaa,haya yanaweza kuchangia kupenda,kutamani na hata kumtaka mtu mwingineSi kila mtu na mpenzi wake wanapendana...wengine ni burudani tu, au hela au kulazimika,bahati mbaya( umempa mimba mtu ukalazimishwa umuoe),umefumaniwa ukafungishwa ndoa ya mkeka etc....!
Kuwa na mahusiano na mtu
Haikuzii kupenda mwingine
Inawezekana niko kwenye mahusiano hayo na huyo mtu
Sababu simba alizidiwa, akala ugali.:lol: