Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hiki ni kipindi ni ambacho wapendanao ukiwaambia wakae kwenye kiti chenye misumari kibao yaliyosimama kuelekezwa juu watakaa bila wasiwasi wowote na pia hawatahisi maumivu ya michomo.
Mapenzi motomoto ni kipindi ambacho hupati maumivu ndani yake!
Mapenzi motomoto ni kipindi ambacho hupati maumivu ndani yake!