Mapenzi na afya

Mapenzi na afya

Mwanasayans

New Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Naomba mnisaidie kwa hili maana nachanganyikiwa. Inasemekana wamba mtu akifanymapenzi sana mara kwa ara anawza kuepuka matatizo ya moyo, presha, sukari n.k. Sehemu nyingine inasema kuwa mtu anayefanya apenzi sanana mara kwa mara yukohatarini kuishiwa nguvu haraka na hivyo uzee unakaribia kwa kasi. Naombeni wadau mniondolee utata huu!
 
Endelea kufanya mara kwa mara ili Mwanga wa milele ukuangazie.
 
Back
Top Bottom