Naomba mnisaidie kwa hili maana nachanganyikiwa. Inasemekana wamba mtu akifanymapenzi sana mara kwa ara anawza kuepuka matatizo ya moyo, presha, sukari n.k. Sehemu nyingine inasema kuwa mtu anayefanya apenzi sanana mara kwa mara yukohatarini kuishiwa nguvu haraka na hivyo uzee unakaribia kwa kasi. Naombeni wadau mniondolee utata huu!