J jsam13 Member Joined Feb 8, 2013 Posts 17 Reaction score 1 Feb 11, 2013 #1 Nini mchango wako kuhusu mapenzi ya watu wa dini mbali mbali..
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Feb 11, 2013 #2 Udini huo...!!!!!!!!!!!!!
M madameA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 435 Reaction score 176 Feb 12, 2013 #3 Nashauri, oa/olewa na mtu wa dini yako yaani mnaoamini sawa. Kuondoa utata wa kidini kwenye swala zima la ndoa.
Nashauri, oa/olewa na mtu wa dini yako yaani mnaoamini sawa. Kuondoa utata wa kidini kwenye swala zima la ndoa.