Mapenzi na maumbile

moatichi

New Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Mara nyingi nimekuwa nikisoma matangazo kwenye magazeti fulanifulani nakutana na tangazo linalohusu dawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile kwa wanaume.Je hizi habari ni za kweli na kuna mahusiano yoyote kati ya maumbile na kufanya mapenzi?
 
yesi kuna mahusiano inatakiwa ifit to each other kupwaya nomaa
 
Mapenzi hayaangalii maumbile,mapenzi hayaangalii rangi wala nini,ni upendo wa ndani kabisa wa moyo wa mtu,watu kutafuta dawa za kuongeza maumbile ni seme wame potoka kimawazo,kwanza sidhani kama kuna dawa yakuaminika yenye kuongeza dawa za maumbile,sijui,nahisi ni danganya ya watu kujipatia hela
 
Kwani yak ndogo? usiongeze wala kutumia hayo madawa lazima yatakuwa na madhara tu, unaweza furahia na kibubutu chako hivohivo
 
Mara nyingi nimekuwa nikisoma matangazo kwenye magazeti fulanifulani nakutana na tangazo linalohusu dawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile kwa wanaume.Je hizi habari ni za kweli na kuna mahusiano yoyote kati ya maumbile na kufanya mapenzi?

hivi kwa nini hawa wauzaji wasitafute dawa ya kupunguza maumbile ya wanawake?
always kwa wanaume tu, mi nadhani hata wanawake wangekuwa wanapunguza
yle wanaume wanaongeza,kuliko kuwaachia wanaume tu wahangaike na kuongeza
wkt wanawake wapo stationary tu.
 
hhahahahhahahahahhahaaha!!!! you made my day ngoja nilog off niende zangu kutemea mie
hahahahahahahahaaaaaaaa lol sipati picha
 
uhusiano upo ila si wa muhimu, che kwanza kabisa ni feelings zako kwa mwenziwako na zake kwako na maujanja kiduchu tu ndo vitafanya mfurahie vizuri,they say brain is the first important sexual organ katika ku enjoy love making.
 
ndio kuna mahusiano wenye maumbile madogo wana bidi kwenye gemu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…