ndo hapo sasa!
mwanamke anayetumia ndumba ni yule asiyojua mapenzi haswaa,mapenzi sio lazima kitandani tu,au mapishi jikoni ,,kauli tamu na yenye mahaba ndiyo funguo ya mapenzi sasa ukienda kwa kalumanzila umloge bwana kauli huna,mapenzi kitandani zero,mapishi kwishney unatarajia nini,,,,wanawake tubadilike na kujifunza ujuzi wa aina mbalimbali ili leo usitafute mchawi,,au kalumaznila mchawi wewe mwenyewe....lol
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo!Yaani ukisikia stori za kinamama wanavyokwenda kwa Kalumanzila utachoka kabisa.Kusema kweli kinababa sijui huwa tunalishwa uchafu kiasi gani.Wengine nasikia wanawapikia waume zao kwa maji yanayoosha maiti mochware,wengine nasikia wanachukua vipande vya nyama wanavisokomeza kusikotamkika kisha wanawakaangizia waume zao,ili mradi ni waganga kutaka kuzidiana ufundi. Jamani jamani uuuuuuwwwwiiiii,huko kwa mahawara ndo usiseme,ndo hakufai kabisa maana hawara ndo anakuwa anahangaika umsahau mkeo.Inachosha kabisa!
mwanamke anayetumia ndumba ni yule asiyojua mapenzi haswaa,mapenzi sio lazima kitandani tu,au mapishi jikoni ,,kauli tamu na yenye mahaba ndiyo funguo ya mapenzi sasa ukienda kwa kalumanzila umloge bwana kauli huna,mapenzi kitandani zero,mapishi kwishney unatarajia nini,,,,wanawake tubadilike na kujifunza ujuzi wa aina mbalimbali ili leo usitafute mchawi,,au kalumaznila mchawi wewe mwenyewe....lol
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo![/QUOTE]
mmh na kweli
Tataizo wengi wao huwa mbele za watu huwaonyesha na kujipamba na attitude kama hii unayoonyesha hapa lakini nyuma ya pazia mmh........sijui kwa nini wanawake hawajiamini!
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo!
Brother thank God huo uchafu wanaupika kabla ya kuwalisha waume/mabwana zao,sasa we fikiria damu ya hedhi inachanganywa na nyama,tena wanachagua ile tamu kama ya nundu,na inasemekana mme/bwana siku hiyo ndo unasifia ile mbaya.Wengine hupata bahati ma house girl wakawashtua mababa wasile na hapo ndo timbwili huwa linafumuka.mi niliposikia ile damu ya hedhi nayo tunawekewa kwenye chakula ili tushikwe..
nilibaki hoooi......ukienda kwa waganga wa jadi unakuta asilimia 80 ya wateja ni wanawake......
na kuna sharti la mganga kuondoa mkosi kwa kumtafuna huyo mwanamke......bur kabisaaa na pesa mganga analipwa..
huwa sometimes nafikiria nianzishe ofisi ya tiba za jadi lol
niwaondoe kina mama mikosi lol
halafu wanilipe lol
Ndio mkome na kutulia kwa wake zenu ebo!sasa ndo hata hutuonei huruma watoto wa mwanamke mwenzio?