Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
ha ha ha.... Yaani nilishiwa pose comment yako ya RIP.... Dah!
Teh teh teh baadaye Super rugby final Crusaders VS Reds LIVE 🙂
Ni bora wao kuliko kujiingiza kwenye apenzi na mtu akamuumiza, hii nahisi hapa kwetu bado sana
Mkuu hata ya kike yaani maplastic yapo.....acha wajiridhishe nayo FINALLY uzeeni mkuu...watahitaji tu midume....
Ni kweli lakini tatizo tunawahitaji sasa watuhudumie wakati bado wanamvuto.......uzeeni na ile mikunyanzi tutawezana nao.......................