Mapenzi na ujasiriamali

Mapenzi na ujasiriamali

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana?

Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani?

Samahani kwa kulileta huku maana nimeona linahusiana na mapenzi na uhusiano pia huku kuna watu active sana.:screwy:

Ahsanteni na asubuhi njema.
 
kwani we unaonaje? Maana hayo ni masuala yenu binafsi, inaweza kuwa sahihi au hisiwe kutokana na ukaribu na muitikio wa mpenzi wako ktk suala la maendeleo yenu!! Kwa mimi naona sahihi kufanya kwa mpenzi wangu, maana anaonekana ana uchu na maendeleo!
 
we mfungulie tu hiyo bihashara mkioana si itakuwa bihashara yenu wote
 
Kweli tunatofautiana unaulizia milioni 1 na waliofunguliwa makampuni na sio mke? Any way nakushauri kama huma mawazo na icho kisenti mpe afungue kibanda cha chipsi inaweza kufaa.
 
Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana?
Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani?
Samahan kwa kulileta huku maana nimeona linahusiana na mapenzi na uhusiano pia huku kuna watu active sana.:screwy:🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Ahsanteni na asubuhi njema.

Ni sahihi kwani na wewe si unamfaidi?? Kikubwa unatakiwa kuangalia aina ya mauhusiano yenu, yana malengo?? Mnaendana kuja kuwa pamoja badae??

Ingawa wanasemaga sijui `mapenzi hayafadhiliki` ukijua maana ya huo msemo vizuri hutafanya unayotakakufanya!!
 
Kweli tunatofautiana unaulizia milioni 1 na waliofunguliwa makampuni na sio mke? Any way nakushauri kama huma mawazo na icho kisenti mpe afungue kibanda cha chipsi inaweza kufaa.

Sasa ndo anakutongoza huyu, utamchukuliaje?? Utamkataa sababu uwezo wake umeishia milioni moja na kuna waliofunguliwa kampuni...!!!?
 
We mfungulie tu mkimwagana atakuja kutumia mwenzio.
 
Back
Top Bottom