Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana?
Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani?
Samahan kwa kulileta huku maana nimeona linahusiana na mapenzi na uhusiano pia huku kuna watu active sana.:screwy:ππππππ
Ahsanteni na asubuhi njema.
Kweli tunatofautiana unaulizia milioni 1 na waliofunguliwa makampuni na sio mke? Any way nakushauri kama huma mawazo na icho kisenti mpe afungue kibanda cha chipsi inaweza kufaa.