Mapenzi ndio starehe ya kwanza kwa sasa duniani.

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
Poleni sana kwa wale wote walio kwenye mfungo wa Ramadhan Mungu atamsaidia na kumrehemu pia, Leo nathubuti kuandika thread hii baada ya kufanya upembuzi yakinifu na kugundua kuwa maisha ya sasa yametawaliwa na mapenzi ndio tumefanya kuwa starehe kubwa kwetu na hii inapelekea hata watoto wetu kukimbilia burudani hii ambayo pasina kujua faida na hasara ya starehe hii. Lakini nahisi kila mtu atakubaliana nami kwa hili au kuna yeyote ambaye anafikiri tofauti na mimi juu ya swala hili la mapenzi kuwa ndio starehe namba moja kwa sasa?
Mapenzi yana run Dunia.....
 
Hebu tupatie taarifa rasmi ya utafiti wako. Umejuaje? Mahali gani umefanyia utafiti wako? Watu wangapi na makundi gani yalishiriki?
 
ni kweli hata nyimbo zinazoimbwa nowdays dhamira kuu au theme ni mapenzi, movie nazo vilevile mapenzi tuu ndo yamejaa akilini mwa watu tofauti na miaka ya nyuma nyimbo was life, movies wast actions.
Kumbuka moja ya nyimbo za zamani, Ngalula eee ngalula, ngalula ngalula..... ukiwa mtenda mabaya... ukiwa na roho mbaya... ukiwa na pesa nyingi.... ngalula ngalula ngalula.... hope was Dr. Remy.
 
sasa weweunataka tufanye nini? Kuna starehe gani nyingine ambayo bado hatujaifanya?
 
Mimi hela ndo starehe ya kwanza maana bila hela hakuna penzi mjini hapa
 
Siyo kweli, mi kwangu mapenzi si namba moja
 
Kila mtu ana starehe yake, teja starehe ya kwanza ni unga wa mhogo.

Kama sio ya kwanza kwako, kwa mwingine inaweza kuwa ya kwanza.
 
Source? Sample? Case study?
 
But most likely jukwaa lako ukiwa JF ni MAPENZI, URAFIKI na MAHUSIANO

nafkir umesahu kwamba hii id siasani imo,chichat usiseme michezoni ndo kwenyewe na mmu so ni ngumu kupredict aisee
 
Reactions: BAK

Mapenzi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…