Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap kubwa kiuchumi hali ambayo imekuwa inachukuliwa in a very negative way.
Mwanamke anayespend hela kwa mume au mpenzi wake kwa roho safi its obvious anampenda kwa dhati...japo anaweza kuwa na madhaifu mengine ila kwenye huba yuko legit by 100%. She really loves and wants her man to feel great about it. Kila mtu anajua pesa ni kama spice katika mapenzi hunogesha na kuleta furaha zaidi thats why mtu haoni tabu kutumia pesa zake na mtu ampendae.
Tabu iko kwetu sie ambao tunafosi mapenzi kwa malaya wanaoishia kutuchapa invoice kwa foleni. Wengi tunaishiaga kuponda tu kama kawaida yetu na kuwaita watu Marioo ila ukweli ni kwamba wapo wanaotamani hio bahati ya kupata penzi la dhati ila huwatokea ME wachache. The same goes to wadangaji wanaoponda na kushangaa wanawake wenzao wanawapaje hela wanaume zao bila kujua kuwa roho za kimaskini na kukosa access na hela ndio mtihani walio nao.😂😂😂
Kitu najiulizaga kama mapenzi ni ya wawili and involves 2 way traffic iweje mwanaume kumpa hela mwanamke iwe halali ila mke kumpa mume hela iwe kosa? Justify!