Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Kuna hela ya kumpa mwanaume kawaida zile ndogo ndogo akikwama hivi.
Sio mtu anakuomba laki tatu umpatie hivi hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila we ukiombwa upewe tuu, ivyo
 
Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu

Kumbe mnajijua? Unampa kila anachohitaji kwake unataka penzi at least hayo mengine awezi kukupa kutokana na ubahili wa ke wengi lakini hata hilo penzi tu kukupa inakuwa nongwa tupu.
 
Hahaha ndio nipewe tu hiyo pesa
Hapo kwenye kutawanya miguu unatoa tu kiaina
Cha muhimu kila mtu aliumbwa kwa kusudio lake...Ingekuwa wote mpo aina moja sijui ingekuwaje
 
Hahahah oa kwanza mzee, kisha uje na ngonjera zako...Mambo yakigoma hakunaga alpha wala ukwaju! Mama zetu wengi waliendesha familia kwa kipindi cha mpito wa redundancy!
Sawa!!! Nature haijawai danganya,hadanganywi wala haidanganyiki
 

Nikihesabu zaidi mimi nampa kuliko yeye anavyo nipa,sijisikii vibaya naona kawaida kwasababu naelewa changamoto anazo pitia kwa sasa
Kwa mara ya kwanza sijisikii kuumia kumpa mwanaume hela
Kwasababu tunacover gap,ananipa nampa
Pesa sio issue kwenye mahusiano yetu
 
Hiki unachoishi ndio hasa maana ya hii mada kuu hapa. Kwamba kwanini watu wanaona kama sio sawa mtu kama wewe kujitoa kwa mtu wako?
 
Mahusiano uliyapiga stop Sasa unaishije? Binadam wa kawaida kwichi kwichi Ni muhimu na Ni lazima..! Twambie waishije bila mchenjuo? Au we lesbian ?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Teh teh na hapo ndipo ninapowashangaa wabongo wengi! Wameshakariri kuwa ngono ni hitaji muhimu kwa kila binadamu ndiyo maana wananishangaa mtu kama mimi ambaye nasema siko kwenye mahusiano!

Halafu kwani lesbian hafanyi ngono mkuu? Kwanini mwanamke akisema hataki mahusiano anaonekana lesbian kwani mwanamke akiwa anadate na mwanamke mwenzake siyo mahusiano hayo?
 
@Karma hataki kabisa kusikia haya mambo hadi kaamua kuachana na mahusiano [emoji23]
Kwa kweli mimi kuliko kuwa kwenye mahusiano kama hayo ni bora nibaki single hadi nakufa! African men demand a lot from their women more than they can give!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…