Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Kuna tofauti kati ya kujitegemea na ubinafsi mkuu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haelewi eeh, wanawake wabinafsi hawanaga empathy that one i guarantee you. Ipo siku utasimangwa hadi ufe kama pensheni ya wema uliofanya for years.πŸ˜‚
 
Aliumba wadangaji waje ku complement wanaume mabwege ambao hawajisomi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hahaha Kuna msemo eti mwanaume akikupenda atatoa kila kitu utakachoomba bila kujali . Je wewe ukimpenda mwanamke uko radhi kutoa kila kitu kwake ?
 
hahaha Kuna msemo eti mwanaume akikupenda atatoa kila kitu utakachoomba bila kujali . Je wewe ukimpenda mwanamke uko radhi kutoa kila kitu kwake ?
Itategemea na akili ya huyo mwanamke na itikadi zake. Kama ni mchoyo na mbinafsi ataambulia kiepe yai tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Ila kama yupo generous na roho ya kitajiri huyo naweza kwenda beyond kumpa hata mipango yangu.
 
Ooh hapo nimekupata unamaanisha mwanamke awe na yeye anatoa na sio kusubiri kupokea tu kila siku .
 
Itategemea na akili ya huyo mwanamke na itikadi zake. Kama ni mchoyo na mbinafsi ataambulia kiepe yai tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Ila kama yupo generous na roho ya kitajiri huyo naweza kwenda beyond kumpa hata mipango yangu.
ooh hapo nimeelewa Cha msingi ke naye awe anatoa pale inapohitajika na sio kukaa tu kungoja misaada .
 
Kwa uchunguzi wangu inaonesha ukiwa na pesa unaweza kupata unachotaka kwa mwanamke bila kupasua kichwa.

Unaposema tutafute pesa, toka lini mwanamme akaacha kutafuta pesa?
 
ooh hapo nimeelewa Cha msingi ke naye awe anatoa pale inapohitajika na sio kukaa tu kungoja misaada .
Exactly, sasa imagine umepata janga upo central. Unampigia demu wako aje hata na laki 1 akutoe matatizoni anakwambia sina ilihali unajua anayo hio pesa. Lack of empathy! Ila pia ubinafsi tu inakubidi uanze kusumbua watu baki. Maana unakuta yeye majanga yake unamtatuliaga on the spot.

Aisee mwanamke wa hivyo simtaki hata kumsikia.
 
Kwa uchunguzi wangu inaonesha ukiwa na pesa unaweza kupata unachotaka kwa mwanamke bila kupasua kichwa.

Unaposema tutafute pesa, toka lini mwanamme akaacha kutafuta pesa?
Awa watu sijui wana uchizi...Hivi inawezekana mwanaume akaacha kutafuta pesa kweli? Au hizi simu tunazotypia humu zimeshuka toka mbinguni?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Watu wana familia zao na wanasomesha watoto kabisa halafu mtu anakuja na hoja eti tafteni pesa.
 
Mwanamke wa aina hiyo hafai hata bure maana yeye anakuwa na upendo wakati wa raha tu shida ikitokea haimhusu .
Kwa kweli kuna haja ya kubadili fikra zetu .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo equivalent unazo....?
[emoji3][emoji23]..... wew tuma tyu namba Mkuu izo Equivalent tutazijadili Mimi na yeye ..:..

Kwan Marioo lazma muendan na Sugar(M) . Ety Mkuu. ..

si ilimradi tyu Marioo uwe kipanga kweny 6/6[emoji23][emoji3].
 
Mwanamke wa aina hiyo hafai hata bure maana yeye anakuwa na upendo wakati wa raha tu shida ikitokea haimhusu .
Kwa kweli kuna haja ya kubadili fikra zetu .
Hii ndio itikadi ya kishamba ambayo niko against nayo. Hapo kuna mijanamke itakimbilia kusema sindio mwanaume apambane tu na hali yake. Kwangu mie mapenzi ni lazima mwanamke aweze kujitoa bila hivyo siwezi hesabu nina mpenzi. Na ndio msingi wa hii mada mkuu.

Ila sasa kuna ukinzani wa fikra unaotokana na wanaume waliogeuzwa misukule na ndo wanatumika kama SI Unit ya kuja ku crush hii mada. Oh mwanaume ndo lazma atoe kwa mpenzi wake...in some instances anakosa ability ya kutoa wewe mkewe unasimamia wapi?
 
mim natoa ila inategemea na ninavyokupenda
Hii kauli ina walakini, umeitoa kinyonge sana yaniπŸ˜… ila trust me maisha yanabadilika. Unless huyo jamaa yako ana uhakika sana wa future yake ila sie ambao tuko alert na maisha yetu tuko so keen na aina ya patners tunaotaka kuwa nao. Unajua ukishang'atwa na nyoka lazma ushtuke hata ukiguswa na jani.
 
Ukiongea hivi mademu wadangaji na misukule inayopigwa invoice za tuma na ya kutolea inapata uchungu sana. Wanaona kama maajabu na wataishia kukuita Marioo kumbe ni lifestyle tu.

Kuna raha sana kuwa na demu ambaye hata ukikwama ni single click tu tatizo linakuwa resolved. Unaspend nae sana tu ila siku ukiwa hovyo amna kitu kinaharibika. Halafu hawanaga mambo ya kijinga ukiwa naye ni yeye tu hawanaga uxenge wa michepuko. They are always genuine with their feelings.

Shida ipo kwa hawa akina nanii af ukichunguza ni roho ya kimaskini tu inawasumbua na ubinafsi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. We kama vyangu unakula mbona ikifika zamu ya kula vyako unaniputa mkono au unanuna?

Love is 2 way traffic jamani.
 
Aisee pole kamanda ulikuwa unafuga jini. Kama hao ni kupiga chini tuuu
 
Ww naona hujaelewa mada ipoje,na kama umeelewa basi ni mmoja ya wanawake waliotajwa kwenye hiyo mada maana kinachozungumzwa ni tofauti kabisa na unachokiongelea ww.
 
@Karma hataki kabisa kusikia haya mambo hadi kaamua kuachana na mahusiano [emoji23]
Karma ana roho ya choyo ndio maana hataki kabisa kusikia story za wanawake kuwapa hela wanaume zao πŸ˜‚... Kingine hapendi kupika, kufua na kumhudumia mwanamume. Anataka mme ajifanyie mwenyewe haya.

Yeye always anasimama na biblia katika hili ila cha ajabu anataka apewe yeye hela tu ila wanawake wenzie wasipewe. Na sie tukisimama na kifungu cha mwanaume kupenda tuna extend hadi kwa wanawake wengine wa nje yeye hili hataki. Hii tunaita improper fractionπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nowdays wanaume wanapenda kitonga balaa maisha yanabadilika jamani
Nashukuru wangu hanaga habare na visarafu vyangu navyopata
Yuko well, its a blessing and you should be thankful for that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…