Halafu nikuambie kitu kimoja! Mimi kwa mwanaume huwa siangalii pesa ikiwa tu huyo mwanaume siyo msaliti wala mnyanyasaji! Ila tofauti na hapo huyo mwanaume ni wa kuliwa tu pesa zake hata siwaonei huruma wanaume wa hivyo!Mwanamke wangu nampa pesa na yeye ananipa nikihitaji. Wewe huwezi kumpa mwanaume wako pesa sababu ya ill metality. Badilika usikimbilie kuwavika watu mataji ya umasikini coz haitakusaidia. Huwa mnakimbilia "tafta pesa" mkiishiwa hoja.[emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo msanii! Kwani anayoyaongea wanaume hamuwezi kuyafanya na kama hamuwezi ni kwanini?Mwijaku is fooling on u ladies! Yule ni Socialite sasa nyie endeleeni kumuamini msanii [emoji23][emoji23][emoji23]
Je ni ndoa ngapi wanandoa wanafanyiana hayo uliyoyaainisha hapo? Hasa wanaume ni wangapi wanafanya hayo kwa wake zao?
Na kwanini hadi mwanamke awe na ushahidi? Wewe tu mwenyewe nafsi yako haiwezi kukusuta kuwa una mwanamke ambaye anajitoa kwako kwa kila hali siyo mbinafsi halafu bado unamsaliti?Thats was what i was talking about, hii ndio msingi wa mada. Sielewi kwanini ulikuwa unakaza ubongo mda wote huo.
Kuhusu hilo la mwisho hio ni case ya uongo. Inategemea mpaka uwe na ushahidi.
Halafu nikuambie kitu kimoja! Mimi kwa mwanaume huwa siangalii pesa ikiwa tu huyo mwanaume siyo msaliti wala mnyanyasaji! Ila tofauti na hapo huyo mwanaume ni wa kuliwa tu pesa zake hata siwaonei huruma wanaume wa hivyo!
Kwahiyo wewe unamsaidia mke wako kiuchumu tu? Ila yeye akusaidie kiuchumi pamoja na kukufanyia hizo kazi si ndiyo?House chores corresponds to the woman of the house. How can i act single while im damn married to a wife. An assistant and a life patner.
Very smoothly, bila hata barua ya mjumbe πππNikikutajia utasema ni za kawaida kwa sababu eti mwanamke kaumbwa kufanya hivyo! Nikuulize swali je wewe unaweza mfanyia mwanamke wako vile ambavyo unataka yeye akufanyie?
Ofcourse na kipindi tunakuwa baba yangu alikuwa haoni shida kuingia jikoni mara moja moja na kutupikia watoto wake! Anasema wazazi wake (babu na bibi yetu) waliwalea katila mfumo wa kuwa hakuna kazi za kiume wala za kike anyone can do anything ndiyo maana siku hizi tuna wanawake mafundi ujenzi wachimba makaburi na kadhalika!Kwani baba yako alikuwa anambagua mama yako? Or whats up? Kumbe mama yako alikuwa anamsaidia pia ..Taratibu tu tutaelewana
Oohh kumbe wewe unaweza kumhudumia na kumsaidia mwanamke mwenye mapungufu? Na kama ni ndiyo ni mapungufu yapi unaweza kuyavumilia?Kujisahau kivipi yani? Ina maana we mwanaume utaemsaidia ni yule mwenye tabia za malaika tu ryt! Sidhani kama kuna mwanaume wa dizaini hio. Komaa katika usingle unaweza kumbahatisha wa hivyo siku moja.
Kwahio we unataka kuniambia mmeo akiosha vyombo utampa pesa zote anazotaka πππ!!! Unajua maana ya Bushoke?Ofcourse na kipindi tunakuwa baba yangu alikuwa haoni shida kuingia jikoni mara moja moja na kutupikia watoto wake! Anasema wazazi wake (babu na bibi yetu) waliwalea katila mfumo wa kuwa hakuna kazi za kiume wala za kike anyone can do anything ndiyo maana siku hizi tuna wanawake mafundi ujenzi wachimba makaburi na kadhalika!
Na mimi wala sijakataa mwanamke kumpa pesa mwanaume wake! Ila je huyo mwanaume yeye anamsaidia nini mke wake hilo ndiyo swali ambalo hadi sasa sijapatiwa majibu naambiwa eti naleta ubishi!
Basi acheni kulalamika sasa! Hizi personal attacks hatujazianza sisi ninyi wanaume ndiyo mabingwa maana nimeshuhudia wanawake kama sisi tunaokuwa kinyume na itikadi zenu huwa mnatuita malaya visirani tumeachika na ni masingle mother ilihali hatufahamiani na hata pm hatujawahi kuenda!Hivi kwanini mkiishiwa hoja mnapenda kuingiza habari ya pesa. Kuna mtu kasema hana hela humu?[emoji23][emoji23][emoji23] Tulieni dawa iwaingie acheni janja janja. JF hamna maskini humu.
Ndiyo maana sitaki kuwa na familia hadi niwe na uhakika wa kupata mmoja kati ya wanaume wachache sana ambao wana huruma na wake zao! Ambao kwao kuwasaidia wake zao kulea siyo shida sababu wanaelewa kuwa wake zao pia ni watu wanaojitoa kiuchumi!Hapa hamna maswala ya mitume. Huko tutafungulia uzi mwingine. We ni mvivu tatizo. Halafu mwanamke kuwa mvivu haipendezi, sasa ukijaaliwa mapacha wa 3 siku moja utafanyaje. Maana hapo mtoto wala familia huna ila mvivu kichizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu kingine naweza mpongeza baba mkwe kwa kuwa alipata a wife indeed! Hayo mambo uliyosema yanawezekana kufanyika ila kwa mabinti wa kanda maalum.Ofcourse na kipindi tunakuwa baba yangu alikuwa haoni shida kuingia jikoni mara moja moja na kutupikia watoto wake! Anasema wazazi wake (babu na bibi yetu) waliwalea katila mfumo wa kuwa hakuna kazi za kiume wala za kike anyone can do anything ndiyo maana siku hizi tuna wanawake mafundi ujenzi wachimba makaburi na kadhalika!
Na mimi wala sijakataa mwanamke kumpa pesa mwanaume wake! Ila je huyo mwanaume yeye anamsaidia nini mke wake hilo ndiyo swali ambalo hadi sasa sijapatiwa majibu naambiwa eti naleta ubishi!
Kwa taarifa yako mimi siyo mvivu na hakuna kitu napenda kama kujifanyia vitu vyangu mwenyewe huwa ni mzito sana kumuomba mtu anisaidie vitu kama kupika au kufua! Ila shida ni kuyafanya hayo kwa mwanaume unayemsaidia kiuchumi ila yeye hakusaidii hata siku moja na majibu unayoambulia ndiyo kama ya extrovert!Sasa ulitaka nitaje mali zangu zote humu jukwaani au!? [emoji23][emoji23][emoji23] Hebu kuwa serious kidogo. Najua una uvivu wa kufanya kazi za ndani ila usifikie kwenye uvivu wa kufikiria pls.
Kwa upande wangu nafikiri upendo una nguvu sana. Unaweza kuwa na mtu asiye na chochote na maisha yakaendelea. Lakini huo uwa ni mwanzo tu wa mahusiano. Tutakapoendelea kwa muda fulani, hapo nishamsoma ni mtu wa aina gan, ana njaa ya kujikwamua? ana future? na ameridhika na pesa yangu? Akiwa amejilemaza kwa kuwa namsaidia aisee upendo utakata faster. Maana mpo kwenye relationship kwa malengo gani! Yeye ambaye nategemea siku moja aje kunichukua kwa taratibu zote za kwetu?Unajua wanawake huwa katika hii mijadala mnatabia ya kubadili badili hoja ili mradi muonekane mpo right.
Topic hapa inahoji tabia ya mwanamke kutojitoa katika mahusiano sio mwanaume kumhudumia mwanamke.
Me sijaona uhusiano mwanaume awe na hela ya uhakika halafu asimhudumie mwanamke wake hapo kutakuwa na tatizo ila its natural mwanaume ni mtoaji kiukweli na hilo nadhani unajua maana wanaume huwa ni waungwana wanatoa hata kuzidi akiba na uwezo wake ili tu kupata attention ya huyo mwanamke na huishia kudharauliwa.
Rudi kwenye hoja, swala la mwanamke kuwa msaada kwa mwanaume ambae amechacha hana mbele wala nyuma, yeye kumsapoti in the name of true love, wewe kwako imekaaje?!
Unaweza pendana na mwanaume ambaye hana kitu yupo at his lowest based on life difficult circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wake kuzicontrol?!
Sasa kama mwanaume anafanya majukumu yake yote bila mimi kumsaidia kwanini mimi nitake anisaidie ya kwangu? Tena mwanaume kama huyo akitaka kuingia jikoni namfukuza kabisa namuambia asubiri kuletewa mezani na kulishwa kabisa!Mwanamke halisi huwa proud kumiliki nyumba yake kwa kufanya shughuli zake zote mwenyewe. Mila na desturi zetu kiafrika huwa mke ndie mlezi wa familia she takes care of the household at large.
Ukianza kutaka mwanaume anayekupenda na kukuhudumia na kuleta chakula nyumbani aingie jikoni na kukupikia na kusafisha nyumba kwa zamu zamu hata mamaako mzazi atakushangaa mpenzi.
Kwanini muone ya kuwa mwanamke tu ndiyo akifanyiwa mambo mazuri ndiyo huwa mahusiano yanaharibika? Kwani hakuna wanaume wanaofanyiwa mambo mazuri na mahusiano yakaharibika?Kwa sababu yanaharibu uhusiano completely. Wapo walioyafanya mwanza wakajiona wajanja ila lately ikaja kuwa kilio [emoji23][emoji23][emoji23]