Mapenzi ni bidhaa bila pesa hupati chochote

Mapenzi ni bidhaa bila pesa hupati chochote

NYOGELO

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
27
Reaction score
50
Kwanza niweke wazi mini ni miongoni mwa wanaume wabahiri kuonga sijui Kwa sababu kipato changu ni kidogo na hata nikiwa na 1m nikaonga hata 10k itaniuma kweli kweli lakini nikimsaidia mtu napata amani moyoni (sanasana wenye shida na matatizo napata amani na furaha ) na hiyo ndio kama sadaka langu.


Nimefanya utafiti isiyo rasmi (Rough research) kwa kutongoza wanawake 30 Kwa miezi mitatu (seriously approaching) umri kati ya miaka 20 -30 Kwa makadirio, wenyeji wa Dar es salaam, sikutaka kujihushisha na wale wanaojiuza Kwa njia mbalimbali.

Kwa hiyo nilibase Kwa waajiriwa serekalini (wenye vipato vya kati kibongobongo) walioajiriwa sector binafsi (vipato vya kati) na wanaojishughulisha kwenye biashara mbalimbali.

Kwa kuwa nilikuwa king'ang'anizi huku sitoi hata centi Moja Kwa muda huo wa mitongozo na niliandaa diary book kabisa ili wasinichanganye majina, namba na maongezi ya mwisho na mimi pia nisikose kuwa mark vizuri.

Matokeo niliyoyapata.

1. Watano walikataa kabisa Kwa sababu wanamahusiano na hawawezi kuwa na mtu mwingine lakini Moja kati yao nadhani ningekuwa natoa hata ya saloon angelainika Kwa sababu alikua anaomba hela sana na huku anakataa.

2. Kumi na tatu ni vichomi wanaomba hela na kizinga balaa, hawa mawasilino haikudumu sana, walikuwa wanataka pesa na mimi haikuwa plan yangu na pia Mimi ni bahiri ndio maana nilichagua sample ya wenye vipato vipato.

Sita waliniblock Kwa kuwa msumbufu huku sitoi hela na wengine niliwapotezea Kwa kutojibiu sms au kupokea simu, Kwa hawa tatizo ni hela nadhani ningekuwa natoa hata kidogo nadhani wengine wangekubali kutoa.

3. Wawili walikubali kuwa kwenye mahusino sharti nijitambulishe Kwa wazazi au ndugu waliopo Dar, umri yao 28 na 30 walitaka serious relationship.

4. Wanne ni wadangaji wazi wazi huku wameajiriwa na Wana vipato vya wastani Kwa kibongobongo (middle class income), wanakuambia walikuja mjini kutafuta hela wako vizuri kimakazi na wengine Wana usafiri hadi najiuliza wamekosa nini mpaka wadange wazee michanganyiko na vijana.


5. Watatu nilipata namba Kwa mbinde sana, kupitia workmate Kwa kudanganya, na moja kwa issue ya biashara lakini nilipoanzisha tu mitongozo waliniblock na kadri nilivyotumia namba zingine wakishatambua sauti tu wanablock na hapo nikawapotezea.

6. Moja ni mke wa mtu, alinidanganya kuwa hajaolewa tukaweka appointment lakini mwanzoni nilistuka Kwa nini appointment kaweka mbali lakini nikapotezea nikaenda tu, lengo langu nipate sehemu tulivu nimtongoze nijue namweka kwenye kundi gani.

Kumbe mume wake amemhack simu yake, mumewe akaanda watu wakawa wanamfuatulia alivyoondoka kwake, walikuwa wanatusubiri tuingie guest wafanye fumanizi. Dah, bahati nzuri haikuwa lengo langu tulikaa open space kila mtu akaita kinywaji chake tukawa tunapiga story na mitongozo Kwa pamoja kumbe mume na wenzake wanatusubiri tuingie guest wafanye yao.

Walichoka kutusubiri wakaja kwetu tulipo kaa, mimi sikuwafahamu nashangaa naitwa workmate muda huo huo. Kwa kuwa jamaa alikuwa anaona chating zetu na amechoka kusubiri aliniambia tu niachane na mke wake na bahati yangu hatujaingia ndani na pale nje watu ni nyomi alafu ni mchana, hapa ni long story kidogo.

7. Moja alifumania mpenzi wake Kwa hiyo alikuwa na hasira ya kulipa kisasi, huyu aliniambia kabisa amechoka, mpezi wake kamcheat anataka amcheat halafu mtu wake ajue. Hii ni baada ya kuwa nae Kwa wiki 2 Hadi tatu kwenye mawasiliano.

Niwe mkweli huyu kutokana na alivyokuwa wa moto na alivyopania kulipiza kisasi nilishindwa kujizuia niliona kinachofuata atanidharau, mitego ilizidi nilipita nae na baada ya hapo akaniblock sijui walirudiana au waliachana.

8. Moja alikuwa na depression, nilimkuta beach akiwa anawaza na yuko peke yake, nikawa mwanaume rijali kubembeleza sana, yeye alikuwa mjamzito wa miezi mitano kulikuwa na watu watatu wanaohudumiwa mimba.

Badae wakaja kujuana na wote wakaacha kutoa huduma, akawa kwenye stress sana. Tuliwasiliana kwa muda nikawa napotezea kiaina, baada ya kila mara shida, huku mimi bahiri na nina shida zangu lukuki.

Nimefanya issue hii nikiwa likizo, pia kuenjoy baada ya kazi ngumu kwa miezi 11, huwa nikipata likizo natembea mkoa, moja kuyajua na kujifunza jamii ya huko wanavyoishi lakini, awamu hii mfuko hairuhusu kwa hiyo nimeamua kuenjoy kwa kutongoza tu bila kutoa hata senti moja huku nakuwa king'ang'anizi kweli kweli.
 
Kwanza niweke wazi mini ni miongoni mwa wanaume wabahiri kuonga sijui Kwa sababu kipato changu ni kidogo na hata nikiwa na 1m nikaonga hata 10k itaniuma kweli kweli lakini nikimsaidia mtu napata amani moyoni (sanasana wenye shida na matatizo napata amani na furaha ) na hiyo ndio kama sadaka langu .


Nimefanya utafiti isiyo rasmi (Rough research) Kwa kutongoza wanawake 30 Kwa miezi mitatu (seriously approaching ) umri kati ya miaka 20 -30 Kwa makadirio ,wenyeji wa Dar es salaam ,sikutaka kujihushisha na wale wanaojiuza Kwa njia mbalimbali .

Kwa hiyo nilibase Kwa waajiriwa serekalini (wenye vipato vya kati kibongobongo) walioajiriwa sector binafsi (vipato vya kati ) na wanaojishughulisha kwenye biashara mbalimbali.

Kwa kuwa nilikuwa king'ang'anizi huku sitoi hata centi Moja Kwa muda huo wa mitongozo na niliandaa diary book kabisa ili wasinichanganye majina ,namber na maongezi ya mwisho na mimi pia nisikose kuwa mark vizuri.

Matokeo niliyoyapata .

1.Watano walikataa kabisa Kwa sababu wanamahusiano na hawawezi kuwa na mtu mwingine lakini Moja kati yao nadhani ningekuwa natoa hata ya saloon angelainika Kwa sababu alikua anaomba hela sana na huku anakataa .

2.kumi na tatu ni vichomi wanaomba hela na kizinga balaa, hawa mawasilino haikudumu sana ,walikuwa wanataka pesa na mimi haikuwa plan yangu na pia Mimi ni bahiri ndio maana nilichagua sample ya wenye vipato vipato .sita waliniblock Kwa kuwa msumbufu huku sitoi hela na wengine niliwapotezea Kwa kutojibiu sms au kupokea simu, Kwa hawa tatizo ni hela nadhani ningekuwa natoa hata kidogo nadhani wengine wangekubali kutoa .

3.Wawili walikubali kuwa kwenye mahusino sharti nijitambulishe Kwa wazazi au ndugu waliopo Dar,umri yao 28 na 30 walitaka serious relationship.

4.Wanne ni wadangaji wazi wazi huku wameajiriwa na Wana vipato vya wastani Kwa kibongobongo (middle class income),wanakuambia walikuja mjini kutafuta hela wako vizuri kimakazi na wengine Wana usafiri hadi najiuliza wamekosa nini mpaka wadange wazee michanganyiko na vijana .


5 .Watatu nilipata namba Kwa mbinde sana, kupitia workmate Kwa kudanganya ,na Moja Kwa issue ya biashara lakini nilipoanzisha tu mitongozo waliniblock na kadri nilivyotumia namba zingine wakishatambua sauti tu wanablock na hapo nikawapotezea.

6.Moja ni mke wa mtu, alinidanganya kuwa hajaolewa tukaweka appointment lakini mwanzoni nilistuka Kwa nini appointment kaweka mbali lakini nikapotezea nikaenda tu, lengo langu nipate sehemu tulivu nimtongoze nijue namweka kwenye kundi gani .Kumbe mume wake amemhack simu yake, mumewe akaanda watu wakawa wanamfuatulia alivyoondoka kwake, walikuwa wanatusubiri tuingie guest wafanye fumanizi ..dah bahati nzuri haikuwa lengo langu tulikaa open space kila mtu akaita kinywaji chake tukawa tunapiga story na mitongozo Kwa pamoja kumbe mume na wenzake wanatusubiri tuingie guest wafanye yao. Walichoka kutusubiri wakaja kwetu tulipo kaa,Mimi sikuwafahamu nashangaa naitwa workmate muda huo huo , Kwa kuwa jamaa alikuwa anaona chating zetu na amechoka kusubiri aliniambia tu niachane na mke wake na bahati yangu hatujaingia ndani na pale nje watu ni nyomi alafu ni mchana..,.hapa ni long story kidogo.

7.Moja alifumania mpenzi wake Kwa hiyo alikuwa na hasira ya kulipa kisasi ,huyu aliniambia kabisa amechoka.... mpezi wake kamcheat anatak amcheat alafu mtu wake ajue...hii ni baada ya kuwa nae Kwa wiki 2 Hadi tatu kwenye mawasiliano niwe mkweli huyu kutokana na alivyokuwa wa moto na alivyopania kulipiza kisasi nilishindwa kujizuia niliona kinachofuata atanidharau ,mitego ilizidi nilipita nae na baada ya hapo akaniblock sijui walirudiana au waliachana .

8.Moja alikuwa na depression ,nilimkuta beach akiwa anawaza na Yuko peke yake,nikawa mwanaume rijali kubembereza sana, yeye alikuwa mjamzito wa miezi mitano kulikuwa na watu Watatu wanaohudumiwa mimba , badae wakaja wakajuana na wote wakaacha kutoa huduma ,akawa kwenye stress sana tuliwasiliana Kwa muda nikawa napotezea kiaina baada ya Kila mara shida ,huku Mimi bahiri na ninashida zangu lukuki.


Nimefanya issue hii nikiwa likizo pia kuenjoy baada ya kazi ngumu Kwa miezi 11, huwaga nikipata likizo natembea mkoa Moja kuyajua na kujifunza jamii ya huko wanavyoishi lakini awamu hii mfuko hairuhusu Kwa hiyo nimeamua kuenjoy Kwa kutongoza tu bila kutoa hata centi Moja huku nakuwa king'ang'anizi kweli kweli.
Sio mapenzi mkuu ngono ndo bidhaa

Aseee bila hela huipati


Wewe unanunua mapenzi kwa kumpa v8 yeye anagongwa na mpaka rangi
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
 
wale wanawake wa kundi la
MAPENZI JAZZ BAND waligawanyika kwasababu ya mgongano wa kimaslahi. sasa wameanzisha
NGONO DANGA GANG.
 
Back
Top Bottom