Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wadau watafunguka kwenye comment sectionUngeelezea na mambo yenyewe ingependeza zaidiππ½
Sawa mkuu mpe hela sisi boda boda ndo tunaotumiaa nao!Mpe hela. Mpe hela. Mpe hela. Nasema mpe hela. Nihivi mpe hela. Yani nisema mpe hela. Umeelewa, mpe hela wewe!. Bado hujachelewa mpe hela. Usizubae mpe hela. Mpe hela. mpe hela. mpe hela
Na wewe akupe nini?Mpe hela. Mpe hela. Mpe hela. Nasema mpe hela. Nihivi mpe hela. Yani nisema mpe hela. Umeelewa, mpe hela wewe!. Bado hujachelewa mpe hela. Usizubae mpe hela. Mpe hela. mpe hela. mpe hela
Effort pia inasaidia kulifanya penzi li surviveUnachocheaje mapenzi na kwa lengo gani?
Tunachochea moto ili chakula kiive tule au maji tuoge.
Hata ukichocheaji hayo mapenzi yakiwa ni ya kubuma yatabuma tu
Nimezungumzia wajibu wake kila mmoja sio kwa mtu mmojaMapenzi ni auto flow, ukiona unachochea jua unaforce inatakiwa ujikute/mjikute mnajichochea automatic!
La kuvunda halina ubani au umesahau huu usemi. Ukikua utaelewaEffort pia inasaidia kulifanya penzi li survive
Sikuzikikata hizo pesa itabidi ukubaliane na matokeo ya huyo kimada kuchomokaMpe hela. Mpe hela. Mpe hela. Nasema mpe hela. Nihivi mpe hela. Yani nisema mpe hela. Umeelewa, mpe hela wewe!. Bado hujachelewa mpe hela. Usizubae mpe hela. Mpe hela. mpe hela. mpe hela
Penzi la ku drain hilo sikubalianinalo effort inatakiwa stoke kote koteLa kuvunda halina ubani au umesahau huu usemi. Ukikua utaelewa
Ndo inatakiwa iwe auto sasa pande zote mbili ukiona ipo upande mmoja juwa no love!Nimezungumzia wajibu wake kila mmoja sio kwa mtu mmoja
Sipingani na weweNdo inatakiwa iwe auto sasa pande zote mbili ukiona ipo upande mmoja juwa no love!
πππππMpe hela. Mpe hela. Mpe hela. Nasema mpe hela. Nihivi mpe hela. Yani nisema mpe hela. Umeelewa, mpe hela wewe!. Bado hujachelewa mpe hela. Usizubae mpe hela. Mpe hela. mpe hela. mpe hela