St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #41
Mmmmmmh, kumbe mambo yenyewe ndio hivi, basi bwana.
Ya nini malumbano, ya nini maneno?
Najiweka pembeni, kuepusha msongamano,
Bora nitulie nipate......
Mola nijalie, haya yasinirudie,
Punguza hasira mama,usinifukuze kwako.kumbuka sina pa kwenda na ujue kabisa kuwa kosa la kwanza halivunji nyumba huyu ni shetani tu alinipitia rudi tuendelee na mipango yetu tuliyoanza.
Waaahahahaaaa ahaaaaa ohohohooooo yahaaaaaaaa yehu enheneeeeeeee tehe tehe teh! ...........uuuuuuuuuuuuuuuuWI! Mbavu sina mie! Umembamba laivu shemejiyo akichakachua, kazi kwako sasa-utachukua hatua gani?.......uskubali yaishe kirahisi na vijisenti tu!..............:redfaces:
ndio wanashikwaga hivi hivi....unasikia eti....shemeji ooh ni yeye alikuwa ananitongoza mimi nikawa namkataa.....wakati picha nzima ilikuwa inaonekana....jamani jamani
Nisaidie kuniokoa basi Preta,si unaona mwenzio nishatupiwa nje mifuko yangu ya Lambo sijui nitakwenda wapi usiku huu.
ukome....rudi umuombe Afrodenzi msamaha....ana moyo mwepesi namjua
Hataki hata kuniona.Naomba nikutume wewe najua kwa busara zako atakuelewa tu.
siongei nae...nenda ongea nae mwenyewe.....madudu uyafanye wewe mimi ndio niongee nae.....tih tih tih ...au muombe shetani aliyekudanganya asuluhishe
Nisaidie basi hata sehemu ya kulala usiku wa leo,si unaona baridi ilivyo kali na kote nishatimuliwa.
he!....shemeji shemeji huku wazima taa.....kwa nini?
Usinihofie hatutazima taa tutakesha huku taa inawaka ili tuonane vizuri.
Nisaidie kuniokoa basi Preta,si unaona mwenzio nishatupiwa nje mifuko yangu ya Lambo sijui nitakwenda wapi usiku huu.
Am a lover not a fighter but i fight for what I love..!
<!-- --><!-- google_ad_section_end -->
<!-- google_ad_section_end -->
<!-- -->
Lakini nilikuwa sijafanya maamuzi aisee,
Niliomba misa kwa ajili ya kumwomba Mungu anionyeshe,
kama kweli ww ni mume mwema kwangu.
Ashukuriwe Mungu kwa uaminifu wake amejibu kwa wakati sahihi kabisa.
Rudi tu ulikotoka baba angu.
Wiki ijayo ntaomba isomwe misa ya shukrani.
Huu wimbo umenikuna kweli leo hasa hapo nilipo hi light......
Kweli wewe unajua mapenzi...
Thats a very good message in a situation like this.So it means that you have to fight for what you love now,if you really loved it.
Unanichanganya bwana, tangaza msimamo basi.