Msimamo tena?Mbona hata mpinzani wako hajajitokeza?
Mmmmmh mapenzi ya hela jamani,
Siku huna hela sijui itakuwa je.
Duu naogopa, kufanya maamuzi katika msingi wa pesa.
Ingawa nazo nazihitaji, lakini nataka zaidi mume mwema kwangu
Akiwa mwema kwangu, pesa itatafutwa na kupatikana tu.
Basi ondoa shaka huyo umempata.
Basi ondoa shaka huyo umempata.
Naogopa, naona unatanguliza sana pesa bwana,
Isije ikawa ujasiri wako uko kwene pesa,
Yaani ile ya utanikubali tu, pesa ninayo, huna ujanja.
Wala usiniogope mama ni kawaida tu katika maisha,umesoma signature yangu lakini?