Mapenzi ni matamu unapompata anayekupenda

Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.


Hapo ndo kila kitu mkuu usafi ni kitu muhimu sana katika mahusiano ya kimapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo mlevi aliishia wapi! Embu malizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo nishangae kutokuona story uchwara kwenye nyuzi yako

California love
 
Nisomeshe mitoto ya mwanaume mwingine"Top school"??...Hell no,nitachekwa hata na ndugu zangu
 
Unachokiongelea kipo na nimekishuhudia sana tu na mifano kibao nimeiona

Jamii tunayoishi ni kubwa kuliko jamii forum comment za watu zinaweza kukufany ukaona jamii iko hvyo kumbe mambo ni tofaut mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Usiwe mchoyo" wenye akili zao watakuelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…