Mapenzi ni matamu unapompata anayekupenda

Type hizo mara nyingi huwaga wana salitiwa na wanawake wao,nimeshuhudia sehemu nyingi.
 
Ushasema ni baba sio kijana, kwa wazee kufanya icho kitendo ni kawaida
 
Single mama bhana kwa kujifaraji!!yani ule mtoto ambye baadaye hata thamini kuwa wewe ni baba yake atakutelekwza huku akimtafuta bab yake halisi ambaye alimkana!!labda amerikaaaa siyo bongo thubutu bora hizo hela kama ni nazo nijenge msikiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu kati ya anayependa na anayependwa,,yupi anaona faraja wakiwa pamoja?
 
Aachane na hayo sijui kupika sijui usafi...kwanza afunge na kuomba Mara 1 kwa week ukiacha siku za ibada,(ijumaa jmos au j2).. Kumuombea huyo M.me atakaye Rith pepo.Ndio mengine yafwate
 
Dream stories zinazotokea Mara 1 baaada ya miaka 50
 
Wenye gundu wamewaka hatari, kupigwa matukio kwao ni sehemu yao ya maisha watahisi hadithi za mtoa mada ni ndoto,

Ninayo story ya kwangu mwenyewe, ukifika muda muafaka basi nitashuhudia,
 
Matamu zaidi ukimpata anayejiachia na kukupa vyote wakati wa majamboz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…