Mapenzi ni mchezo mchafu wakati wewe unalia upande wa pili kuna mtu anachekelea

farfat

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
258
Reaction score
498
Screenshot_20241213-154808_Phoenix.jpg

Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu ananisaidia kuichapa.. sio kawaida penzi halina uhai huyu Ana maanisha
 
View attachment 3175825

Relax, kunywa stone tangawizi, waza maisha mengine.
Bado hujathibitisha kama kuna mpo wengi mnamsarandia, yawezekana ni wewe tu.
Jipe muda, yote yatafunuka
 
😃😃😃
 
View attachment 3175825
Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu ananisaidia kuichapa.. sio kawaida penzi halina uhai huyu Ana maanisha
Kwani akiichapa wewe inakuwaje, wanakuomba hela za kulipia lodge?

Kuna vitu sijawahi kuelewa, yaani afanywe mwingine aumie mwingine!

Huwa ni nini hiki?
 
Bila shaka hujailewa hoja mkuu
 
Napendaga kudate na vidada kama hivyo maana ni rahisi kujua kinawaza nini.
Hapo anataka akuchome moyo urudi kwa pupa , na wewe ushajaa.

Huyo mpuuze, mtafute siku ukitaka kuichapa tu,.
 
Back
Top Bottom