Relax, kunywa stone tangawizi, waza maisha mengine.View attachment 3175825
Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu ananisaidia kuichapa.. sio kawaida penzi halina uhai huyu Ana maanisha
Kwani akiichapa wewe inakuwaje, wanakuomba hela za kulipia lodge?View attachment 3175825
Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu ananisaidia kuichapa.. sio kawaida penzi halina uhai huyu Ana maanisha
Hoja yako ni ipi kiongozi..kiongozi..Bila shaka hujailewa hoja mkuu
Ale Na Kitimoto Rosti Kilo Moha Na Unusu,HatajutiaRelax, kunywa stone tangawizi, waza maisha mengine.
Bado hujathibitisha kama kuna mpo wengi mnamsarandia, yawezekana ni wewe tu.
Jipe muda, yote yatafunuka
Apo n bao 3 kwa sufriNimeshajiambia mkuu naangalia mchezo tu unaishaje