Soja p
Senior Member
- Aug 24, 2017
- 190
- 223
kuachana na mpenz wako sio sababu ya wewe kuanza kutangaza kasoro alizo nazo au mapungufu yake mbele za watu, huko ni kushindwa kuwa na hekma, na kwanin unatangaza baada ya kuachana kwanin hukutangaza wakat bado ni wapenz? Mbona yeye hatangaz udhaifu wako kwa watu? Wala kuachana sio sababu ya kuanza kuchafuana na kupakaziana hata mambo yasiyo ya kwel, kutangaza kwa watu huon kama unajizalilisha mwenyewe? Huyo si alikuwa mpenz wako? Achen ulimbuken wa mapenz na ukiingia kwenye mahusiano ww ni mtu mzma so lazma ujue jins ya kujiheshim
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app