Mapenzi ni upofu

Mapenzi ni upofu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Kweli Mapenzi ni upofu Kweli na mwanamke akipenda anapenda kweli kweli ..Hizi ni Picha Zinazovuma za Wanandoa Waafrika wanaishi pamoja Mume na mke.

Binti amesema "Nampenda mume wangu ananijali na ananipatie kila kitu ninachikitaka pia ananiridhisha, pamoja na maneno watu wanasema lakini nimeziba maskio nampenda sana na hatoniacha.

Watu wengi hasa mashoga zangu wanasema niachane nae kwasababu wananionea wivu na wanataka niachike ili wamchukue."
 
Mkuu, mada na Picha. Picha na mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom