tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
bila maneno matamu penzi halinogi! Hata kuku nao wana stail zao.
Mie huwa na maneno machachu kama ndimu, nikujaribishie?
Mapenzi siyo utoto 2, bali ni makubaliano baina ya wapumbavu wawili, ukiwa na akili zako timamu huwezi penda. Ndo maana wale wanaojiona wako smart huishia kuumizwa tu, sababu ya kumegwa na kuachwa.
.Mie huwa na maneno machachu kama ndimu, nikujaribishie?
bila maneno matamu penzi halinogi! Hata kuku nao wana stail zao.
Yah hayo hizo ndo raha za mapenzi wala si utoto....mapenzi si utoto,hivyo vionjo unavyoviita utoto ndio vinaitwa mapenzi lol grow up
hahaha hahaaaaaaaa hii nzitooUnataka tuambiane maneno machungu?
Unataka tuambiane maneno machungu?
Mai waif, ana maana maneno kama mf. wa yale nnayokwambiaga - "Husny una sura nzuri kuwazidi malkia Nelepta na Sorais !
- Husny una shingo ya upanga! - Husny hatua zako za hesabu , na macho yako mng'aro wa mbalamwezi.
- Kiuno cha Nyigu!
- Mguu wa bia !
N.k n.k