Mapenzi ni yale yale tu

Mapenzi ni yale yale tu

Twahil kaupa

Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
43
Reaction score
50
We jiulize toka enzi ya adamu mpaka sasa kuna watu wangap walipitia km yako!?? Je walifanya maamuzi gani

Ndugu kila kinachotokea ktk mapenz ndio mapenz yenyewe we chukulia ivyo ukipendwa au ukitendwa we chukulia kawaida tuu

Ukihongwa Sana au ukichunwa Sana kawaida tuu

Yaan hakuna jipya watu washakua Malaya kuliko uyo unaemuona malaya,watu washapigwa Wangine kufa weng kukosa viungo alaf Ni kawaida tuu..

Ila tu ukiona umeshindwa usilazimishe mambo acha utaumia alaf utaona kawaida tuu mana MAPENZ NI YALEYALE TUU
 
Hujapigwa na 🔨ya utosi kweli😀

Yea mapenzi ni haya haya..unaempenda hakupendi mtoto wa watu kumbe anapenda wali ndondo..

Anaekupenda wewe humpendi Maskini ya Mungu unajiwazia zako gambe muda wote😀😀

Ndio hivyo lakini
Hakuna ambaye hajawai kuachwaa ila kwa kuandika haimaanish nimeachwa
 
Are you okay? Usikae peke yako kaa na washkaji muda wote.
Mkuu nimeandika tu bhn sjaachwa Na wala siwaz kuachwa mn pia sjapenda mtu.ila kuna mtu nilisoma alichoandika humu ndio mana nami nikapata wazo hilo
 
Hujapigwa na 🔨ya utosi kweli😀

Yea mapenzi ni haya haya..unaempenda hakupendi mtoto wa watu kumbe anapenda wali ndondo..

Anaekupenda wewe humpendi Maskini ya Mungu unajiwazia zako gambe muda wote😀😀

Ndio hivyo lakini
Mwengine anakupenda kumbe we unapenda zako chapati🥲
 
Back
Top Bottom