Mapenzi noma!

Mapenzi noma!

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili ampate.
 
Back
Top Bottom