I Ilonza Senior Member Joined Jan 11, 2011 Posts 119 Reaction score 13 Jun 21, 2011 #1 Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili ampate.
Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili ampate.