Mapenzi si umri, a nice pic.

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198


age is nothing but a number. Na jamaa si tajiri, so kitu ni true love.
 
AAGh huyo babu watu lazima wammegee, hawezi libeneke huyoooo
 
Duh! Nimecheka kufa! Huyu babu ana vituko! Kwanza pozi lake la uhakika. isitoshe naona amenyanyua "inkosikazi" juu kana kwamba anatangaza vita kwa yeyote atakayetaka kunyemelea mrembo wake: kwamba atakiona cha mtema kuni. Loh!
 
Mbona kama hana furaha vile! (binti}
 
Huyo msichana ajiandae, kuna siku hako kazana ambako kako mkononi mwa hako kazee kitaishia kubonda kichwa cha binti...
sitaki kufikiria huko.
 
Nilipoiona title ya thread kabla ya kuiona picha niliwaza, "Lazima mwanamme atakuwa mkubwa kwa mwanamke."
 
Vipo vizee vipo fit kuliko hata hao vijana mapenzi hayana umri!
 
Mhh kina dada mmezidi utamwambia kibabu ingiza?nimecheka sana
 
Naona mkono unagusa nanihii pale kifuani... sijui hata kama anajua alichoshika!!!
 
hiyo nyundo ni pooooziiiiiiiiii au kutisha mafatakiiiiii?
 
Vipo vizee vipo fit kuliko hata hao vijana mapenzi hayana umri!

Tena vijana wenyewe nyie mnaoshindia chips mayai na pizza, hata mie wa miaka 70's ninawatoa knock out! teh! teh! teh!
 
Vipo vizee vipo fit kuliko hata hao vijana mapenzi hayana umri!

Haswa ukiongezea na kutembea vichupi vimetokeza nje ya suruali makalio yanaonekana pamoja na kuvaa "ear rings" na kusuka nywele, Ile nguvu ya ya uume kwishilia mbali wanafanana. Lakini angalia mzee alivyo poose! Nampa heko! Anahakika na jinsianavyotimiza wajibu mpaka wengine wanadhani kimwana kalewa kumbe karidhika mno!!!
 
Huyu ni mzee wa ukweli! Hapa alikuwa anaonyesha kwa vitendo jinsi alivyokuwa mahiri enzi zake kuwanasa vidosho. Ng'ombe hazeeki maini bwana alaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…