Mapenzi si umri, a nice pic.

Huyu si ndo yule mzee alitolewa video yake akitokana kuwa binti aliyempa mima alitaka mwenyewe au nafananisha tu
 
Hao si wapenzi bali ni babu na mjukuu wake, wako katika utani wa kawaida wa babu na mjukuu
 
Babu najua unanipenda na je utanilinda?, bila shaka si unaona hii nyundo!
 
nimecheka sana na nimeipenda mno!!
huyu ndo mwanaume
 
Naona hapo kwenye kifua anapima mapigo ya moyo:teeth:
 
Hao si wapenzi bali ni babu na mjukuu wake, wako katika utani wa kawaida wa babu na mjukuu

Mh!mkuu inavyoonekana ni mke na mume,lakini swala la mapenzi ni tofauti kidogo!!
 


age is nothing but a number. Na jamaa si tajiri, so kitu ni true love.



Hivi ndio vidume vinavyotakiwa,huyo babu ujana wake wote inaonesha alikuwa mtu wa kazi kwa kwenda mbele na ndio maana hata afya yake bado inalipa na sio vijana wa kileo,kula kulala, kazi hawataki wao ni kushinda vijiweni tu matokeo yake wakifikisha miaka 30 tu kitu kinakuwa kama tambala la deki hata akijitahidi sana ni round moja tu kwisha kazi,fanyeni mazoezi vijana na muishughulishe miili yenu otherwise vibabu kama hivi vitawasaidia kisha muanze kujiuliza hivi mke wangu alikosa nini kwangu?
 
Kudadekeee dah babu kwanza hilo pozi si mchezo dah .mzee hiyo kali full kucheka. Dah mzee kashika hadi nyonyo ha ha ha .hakwamungu dunia inakwenda kuzimu mzee kama huy bado kituuuuu kinatemaaaa manyi ya naziiiiiiiiiiiiiii dahh
 


age is nothing but a number. Na jamaa si tajiri, so kitu ni true love.

Babu...Babu.....Babu......Babu......
Jamani Babu kaopoa bonge la toto, yaani hongera sana Babu . Ingekuwa ni huku Dar es salaaam angedaiwa mahali mengi sana !!!
Kumbukeni " LOVE DONT COST A THING"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…