Mapenzi siku hizi ni kama bluetooth.

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Mahusiano ya kimapenzi nafananisha na bluetooth: IT CONNECTS WHEN IT STAYS CLOSE BUT WHEN YOU ARE FAR IT FINDS FOR NEW DEVICES.
 
mkuu umefikiria sana nakupa big up
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.

Mgongee like kama ni marudio,
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.

Sasa mapenzi yanakua drove(endeshwa)na nan?
 
kawaida bwana...wee jikamatiwe wakaribu sio wa mabli bana
 
Duhh
Blue tooth tena ...
Kuanzia Leo na log out ..
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.

We Lizzy huwez kuelewa kirahisi lugha ya kisayans hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…