Mapenzi sikuhizi nipe, nikupe

Mapenzi sikuhizi nipe, nikupe

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Wasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze kutoa chake. Kufanya mapenzi siku hizi ni kama unaingia mkataba wa kibiashara. Money on the table, funguo ya chumba mkononi ndio papuchi iliwe.

Yako wapi mapenzi?

Tunaenda wapi kizazi hiki?

Karibuni kwa mjadala
 
Kumbe huu ni mjadala, mim nilijua unajimbia zako mashairi tu, ok ni hivi ni kwamba we live in the world that business runs it so everything is sold out
 
Ndo maana mm napiga na kuondoka... Kama guest house tunaingia pamoja ila kutoka kila mtu anatoka kivyake
 
Watanzania wapo busy na mijadala yenye maslahi ya kitaifa.....kama huna hela nenda kapige punyeto.....over..
 
Papuchi zote ck iz zinauzwa hapa bongo, we hujui? au we wa ni stranger hapa tz? ila chache za kubahatisha ndo haziuzw
 
Papuchi zote ck iz zinauzwa hapa bongo, we hujui? au we wa ni stranger hapa tz? ila chache za kubahatisha ndo haziuzw

Kweli kamanda. Maana hata demu wako mwenyewe anakuwa anakuuzia kiaina fulani hivi.
 
'''No Money No Honey nimebaini... whaaat kwa nini niumie kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaaa...??
PESA HATARI SANA
 
Biashara hadi kwenye ndoa siku hizi!Ukitaka bure utageuziwa mgongo mpaka ukome na pengine jirani yako tu hapo atapewa mzigo ulioutolea mahari
 
Kweli kila mmoja amekuwa mshamba kwa kitu chake.kama unahitaji papuchi toa mkwanja bana na nyie akina mademu toeni papuchi si lawima pesa kwanza
 
nilikotoka nimetumia nauli , nguo nlizovaa zikakuvutia nimenunua kichwan nimejighramia bado mafuta nlopaka mama kanipa wew nan ule bureee haipo kabisa
 
vigezo na masharti kuzingatiwa...... heshimu biashara za wenzio
 
Back
Top Bottom