Mapenzi sio poa aisee

Goguryeo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2019
Posts
3,003
Reaction score
5,653
Mapenzi sijui mahusiano sio poa ...

Mara yule anataka aolewe wakati uwezo wa kuishi na mtu sasa bado kama kijana ....mimi mwenyewe tu hapa pasi ndefu kawaida ....kila siku swali hilo hilo ooh nyumbani utakuja lini....?

Huyu nae nitakupa siku tukioana ukija kwetu.... khaaaa

Am tired sasa, em nile break nienjoy kidogo nachokipata mwenyew
Stress tupu, shabbash....

Leo nimecomnent sired nyingi Sana humu ....

Hakika ni siku ngumu mno.🍺🍻
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Bro hii kitu imeshawahi nitokea kuna demu nilimkosa kutokana na kujifanya mwema kwake dah sikuamini asee ...... Nilikosa mazima, alikua ashakula hela zangu kibao yani. Mbaya zaidi ilifika time hadi akawa anasifia baadhi ya washkaj zangu hao ambao ni "wahuni, wahuni" tu aisee. Acha tu hawa Viumbe mkuu.
 
Khee usiniambie
 
Pole mkuu. Sex aint everything though. Misimamo pia ni muhimu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sawa miss Pablo ....au nimekaa kitumishi tumishi sana ....maana naona haya maisha tumekua classified ....kuna wale wandoa na wakupakua tu
tukiuliza cc tunaambiwa njoo home Kwanza ...
 
Achana na mapenzi. Njoo Catalunya unywe bia, Nitalipa bills.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…