Mapenzi ukiwa fofofo

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Ivi kuna mtu kesha fanya mapenzi akiwa fofofo (kalala) , hajitambui.

Kama upo ,twambie ladha yake.

Au je inawezekana kufanya hivyo?,
 
Sasa ukiwa umelala fofofo si utakuwa unabakwa... Looh!
 
Hivi wewe ukiwa fofo unaweza kuyaeleza yaliyokutokea?. Swali lako halipo clear ndg.
 
Ivi kuna mtu kesha fanya mapenzi akiwa fofofo (kalala) , hajitambui.

Kama upo ,twambie ladha yake.

Au je inawezekana kufanya hivyo?,

Hivi inawezekana hiyo? Mtu aendelee na shughuli mwingine yupo fofofo hajitambui! Hata msuguano huo atakuwa hausikii?
mmmmmmh, makubwa!
 
Mie nafikiri inawezekana, japo utakuwa hujitambui lakini utashiriki kikamilifu tena bila usumbufu. Hujawahi kuta mtu anaongea akiwa usingizini??
 
Hivi inawezekana hiyo? Mtu aendelee na shughuli mwingine yupo fofofo hajitambui! Hata msuguano huo atakuwa hausikii?
mmmmmmh, makubwa!

Jaribu siku mwambie mwenzio, ukiwa fofofo akufanye taratibu.
 
Hivi inawezekana hiyo? Mtu aendelee na shughuli mwingine yupo fofofo hajitambui! Hata msuguano huo atakuwa hausikii?
mmmmmmh, makubwa!

Weeeeeeeeeeee.... nani kakwambia msuguano hutausikia.....
 
Jaribu siku mwambie mwenzio, ukiwa fofofo akufanye taratibu.

Haiwezi kutokea kwangu kwani nipo sensitive sana, sijawahi kulala fofofo kiasi hicho cha kutosikia.
 
Labda na wewe tukuulize, unaweza kuoga ukiwa umelala? Au unaweza kula ukiwa umelala? ladha ya chakula inakuwaje?
 
Nilishawahi, but sikujisikia chochote mpaka asubuhi mamito aliponiambia kuwa nilijisevia ukiwa umelala.
 
Ivi kuna mtu kesha fanya mapenzi akiwa fofofo (kalala) , hajitambui.

Kama upo ,twambie ladha yake.

Au je inawezekana kufanya hivyo?,
labda ka mtu kafanya na popobawa mana lenyewe ndio hupenda mtu akiwa fofofo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…