44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Maeneo mengi ya bara la Afrika, mapenzi yanatazamwa Kama sehemu ya kuchumia Mali.
Mfano mahari kubwa, kuhonga Mali na wanawake kujiuza, haya yote yanadhihirisha kuwa wanawake wa kiafrika hawana mapenzi ya dhati mbali wako after money
Pia hata wazazi wengi wa mabinti wa kiafrika wanapenda Sana mabinti zao waolewe na wanaume wenye pesa ili wapate mahari kubwa.
Lakin kwa wenzetu Ulaya Hali hii inatazamwa kuwa tofauti kidogo, wenzetu wanamapenzi ya dhati na hawako after money, ndio maana wanawake wengi wa kizungu wanawapenda hata wanaume maskini wa kiafrika, nikiwemo mimi. Nimebahatka kupendwa na Mjerumani.
Karibun kwa maoni na mitazamo yenu Wanajamii forum: