Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 99
Habari wadau wote jukwani:
Hivi Madada zetu wanapenda nn haswa!
Unapomtongoza ukiwa huna kitu tegemea mambo mawili:
Akukatae kigezo sio type yake ama akikukubali jua nilizima utashare na mtu mwenye pesa ila nafasi yako itabaki pale pale utapendwa kama mwenye mapenzi ya dhati na unaemfikisha kunapo faragha.
Na ukiwa ukiwa na pesa vigezo vinapungua lakini kuibiwa kupo pale pale utapendwa kwa pesa zako na sababu ni mtoaji/muongaji mzuri na kama we ni wale wa kuloweka(Mzee wa cha fasta kama kuku) humfikishi anapohitaji, basi unatafutiwa msaidizi kwa ajili ya mechi za Kimataifa then wewe utakuwa unapewa zile za mchangani sisizo na shuruba wala wadhamini.
Hawataki kupoteza kitu sijui hata tufanyejeeeee...!!! Kweli cheating haitosha kamweee...