eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 72
Nini shida jaman
nimpendaye ananizingua balaa, niko serious kumuoa lakin majanga tuu.
anayenipenda hata simzimii kabisa.
Hakuna mchawi wako hapo zaidi ya Moyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]Nini shida jaman
nimpendaye ananizingua balaa, niko serious kumuoa lakin majanga tuu.
anayenipenda hata simzimii kabisa.
Wewe umpendaye yupo wapi au unashauri tuJilazimishe tu umpende akupendae.
bora iwe tu.Mkuu, ebu acha moyo ufanye tu kazi yake ya kusukuma damu... usiubebeshe moyo mambo mengi wakati muda ni mchache...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
hapanaNipe namba za huyo ambae humpendi
Bado natafuta.Wewe umpendaye yupo wapi au unashauri tu
duh!Hakuna mchawi wako hapo zaidi ya Moyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
AhsanteJilazimishe tu umpende akupendae.
nataka kupendwa nipendako.Wewe ndio unafeli sasa, yaani kuna mtu anakupenda halafu hutaki kumpenda unahangaika na asiye kupenda...
Kwani wewe unataka kupenda au kupendwa...???