Mapenzi vs Mali

Mapenzi vs Mali

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mkeo mahari umemlipia laki tatu, gari yako umenunua milioni 200.
Rafiki zako wakikuazima gari unawapa, vipi ikitokea mmoja akuazime mkeo kwa dakika moja tu?
 
wanaume bwana wewe huwa unajiazimisha masaa mangapi kwa wanawake wengine na hujalipiwa chochote?
 
Bujibuji inategemea ananiazima mke kwa ajili gani??? tatizo letu watanzania tunajua tukiazimwa mke ni ghono tuuu....tuelimike jamani..
 
Bujibuji inategemea ananiazima mke kwa ajili gani??? tatizo letu watanzania tunajua tukiazimwa mke ni ghono tuuu....tuelimike jamani..

Sio swala la kufikiria ngono
Nikikuazima gari bila shaka unaenda kulitumia kwa ajili ya issue fulani
Nikija kwako kama nahitaji mke wako anisindikize au awe mshenga wangu unajua wazo hilo kabisa kuwa mke anaenda kjwa ajili ya issue fulani
Swala la kumuazima mke yaani nakuja kwako kabisa nakuambia aise namuazima mke wako aje kwangu bila maelezo yoyote mkuu hapo huwezi fikiria zaidi ya kuwa kuna kitu kinaenda kufanyika
 
Nipo tayari tuazimane, yaani na mimi niazime mke wako,ili iwe ime- balance
 
mke wangu ni halali yangu. VIPO VYA KUSHARE LIFE SIO MAPENZI teh!
 
Back
Top Bottom