Mkeo mahari umemlipia laki tatu, gari yako umenunua milioni 200.
Rafiki zako wakikuazima gari unawapa, vipi ikitokea mmoja akuazime mkeo kwa dakika moja tu?
Sio swala la kufikiria ngono
Nikikuazima gari bila shaka unaenda kulitumia kwa ajili ya issue fulani
Nikija kwako kama nahitaji mke wako anisindikize au awe mshenga wangu unajua wazo hilo kabisa kuwa mke anaenda kjwa ajili ya issue fulani
Swala la kumuazima mke yaani nakuja kwako kabisa nakuambia aise namuazima mke wako aje kwangu bila maelezo yoyote mkuu hapo huwezi fikiria zaidi ya kuwa kuna kitu kinaenda kufanyika