katika hali ya kawaida, mapenzi yanapaswa ku-develop kama progression ya urafiki... but katika ulimwengu wa leo wa dot.com, usishangae kukuta mapenzi yana-develop from nowhere kwa style ya voda fasta...
jamani Kongosho....hii mada nzuri ila muda huu mbaya......tushalewa sasa....
hii nzuri jumatatu bana.....
au basi kesho asubuhi...tutaichambua......
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?
Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia zenu?
Kuwa wapenzi lazima muwe marafiki?.
wa kunyumba bwana...hahaha,haya bwana mwezi bado mchanga (mshiko bado unaruhusu) hapa nshachakachuka mbege mie haaa...
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?
Unaweza muomba mtu awe mpenzi, je unaweza omba mtu awe rafiki?
Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia zenu?
Kuwa wapenzi lazima muwe marafiki?
Nimejikuta hata maana halisi ya urafiki inanichanganya.
Msaada hapa . . . . .

Inawezekana kuwa marafiki bila kuwa wapenzi, BUT NOT IN AFRICA!
Kwetu jamíi haitawaelewa, na kutokana na presha ya marika plus mikasa ya mapenzi, mtajikuta mmeangukiana tu!