hueleweki? babu yako Jirani? yeye na Mkewe? then babu kafariki? huyo mkewe ulimaanisha ni bibi yako jirani? na huko kugombana wewe ndio ulikuwa unataka wagombane wakati hakuna cha kuwagombanisha ? na watagombanaje wakati babu kafariki? kama ni jirani zako ina maana huishi nao so huwezi jua kama walikuwa wanagombana au la!! hebu rekebisha kiswahili...wanajf babu yangu jirani yeye na mkewe walikua na watoto14.Tangu nakua miaka ya1992 Babu na bibi hawalali kitanda kimoja,sijawahi sikia wamegombana ila najiuliza hadi leo japo babu kafariki,na kumuuliza bibi naogopa,unaweza ukadhani nini mana hata kwenu labda wapo:scared: