Mapenzi ya Chuo bwana, ila sometimes i miss her

Aiseee umenichekesha sana, hapo ukiwasiliana na shigongo hutakosa zabuni
 
Mara Black,Mara white vipi! Hahahahahah...Mkuu you made my Day...hahahaha...Nacheka sana.
 
Miaka yote hio mpaka leo mkuu kweli?
baada ya kusota sana na kazi=0 ukaamua kuwa atheist na sasa naona umeamia chama la FREEMANSONS.. 666 chata
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mkuu 666 chata hapo ktk wilaya nzima mnafaulu wa3 ama 4 tu! Hapo tupo sote. Wilayani kwetu majibu ya Mtihani wa la 7 yalikuwa yanabandikwa BOMANI na SOKO KUU tu!

Tumtafute alieua elimu yetu Mkuu!
Hahahaha kweli aisee!!

Mi nilimaliza darasa la saba miaka ile dar shule za sekondari ni hizi tu

Azania
Benja
Kisutu
Zanaki
Jangwani
Kibasila
Kiluvya
Kambangwa
Tambaza

Ukikosa hapo basi unaenda private

Nilimaliza mavurunza pale kimara tulifaulu 14 tu kati ya 234

Hivi majuzi nikasema ngoja nikaitembelee shule yangu ya msingi heheheh nakuta pembeni wamejenga sekondari inaitwa saranga makubwa!!

Enzi zile ukifaulu sifa sana hadi jogoo unachinjiwa

Saivi unaamishwa tu

Unatoka kilimahewa primary unaenda kilimahewa sekondari hahahahah

Zamani raha sana.
 
Daaah Mkuu mbinu za kiyunani na mtoto makali dunia nzima umetisha Mkuu umenifurahisha na kunikumbusha mbali pia[emoji1] [emoji1]
 
Apate wapi? kwa kiwango chake cha elimu hakuna kazi, labda afanye kazi ya kutafuta kazi.

Kaka sio kazi tu, nlipata mpaka hela, sasa sijui ulitaka kumaanisha nini maana naona kila sehemu unakazana na hili la kazi, anyway nafikiri hapa nimekuridhisha.
 


Kaka umenifurahisha sanaa na umenikumbushia mbali sana, enzi ilikua hatari bro, tena kuna watu walikua hadi wanarudia rudia la saba mara tano ili tu wafaulu kwenda government ila holaa hhahahahaa zile miaka acha kabisa.
 
baada ya kusota sana na kazi=0 ukaamua kuwa atheist na sasa naona umeamia chama la FREEMANSONS.. 666 chata
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Mkuu, kuna muda ktk maisha yako unapitia magumu mpaka unajiaminisha bhana uenda kweli Mungu hayupo, sasa na mie wakati ule nikiwa ktk situation hii nlikutana na jamaa zangu walikua ma Atheist na nikaja kukubaliana na hoja zao, ila nliendelea na utafiti mkubwa nikaacha haya mambo ya ku question uwepo wa Mungu, na niko salama tu nimerejea bandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…