Mapenzi ya Chuo bwana, ila sometimes i miss her

Aiseee umenichekesha sana, hapo ukiwasiliana na shigongo hutakosa zabuni

hahahah, Mkuu hii uenda ikawa ni habari ya kuchekesha kwa wengine, ila deep down haya mambo yakikukuta asee ni hatari.
 
Daah pole mwenzie amepata kazi,ulimfundisha vema ukaona unafaidi papuchi,yeye kafaidi madesa na mafundisho yako.Sasa uko mtaani walalamika yeye anamegwa na lijamaa la mkoani huk


hahahahah mkuu huyu Mungu ni wetu sote, sasa nikose kazi miaka yote hio af wanafunzi wangu wapate kazi yaani wanipite? hell no tuko sawa na more than that.
 
How comes unaishi na dem miaka minne na huoneshi madhara? Au ulikuwa unakojoa upepo? Ona sasa mwenzako kamchukua, 'ndani ya mwezi' keshamjaza mimba...
Nina wasi wasi na ujogoo wako....


Mkuu punguza u negativity sanaa, sasa ningekwambia nlimpa alaf akaja akatoa si bado ungeni hukumu pia kua muuaji? haya mambo mazito, ila tu enzi zetu tulikua makini sanaa, na mpaka leo nna uelewa mkubwa sana wa masuala ya siku hatari na zisizo hatari, hivi vitu ni extra tu, lengo hapa ni kuwafanya madogo waweze ku foresee yajayo.
 
Nimeshangaa sana mkuu, yani wilaya nzima wafaulu wanne halafu mtu anajigamba walikua na akili?Daaaah!!
I WISH I COULD BE BORNED ENZI ZA MWALIMU.

Hapana, ni mtazamo wake tu, na kwa namna moja unaweza wakera wale waliofuatia baada ya kizazi kile kupita.
 
hayo ndio ya ki chuo chuo.. ila umefanya vema kuwakumbusha madogo janja maana wa siku hizi wanapenda chini πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Ndugu yang yan una vinu balaaaa han mtt kashuk nmechekaa et km tb joshuaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…