Mapenzi ya dhati kwa pombe

Mapenzi ya dhati kwa pombe

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Hivi inakukaje mtu anakunywa pombe anagombana na familia, anagombana na marafiki,anasababisha ajali lakini bado pombe aachi. Yaani haya maneno ninayaandika huku nikiwa nimeshika beer yangu ya baridi. Basi tutafanyaje, jamani ninawatakia sikukuu ya pasaka.
 
ha ha ha nahamia kwenye Dreamliner
bapa nilikunywa moja kubwa juzi ...sasa nilipoludi nyumbani ...wife wangu alijuta kunifahamu ..aahha pombe hizi Pamoja na yote ayo lakin siachi sasa sijui kweny pombe uwa wanawekamo nini.
 
Hiyo kitu achana nayo kabisa, tena siku kama ya leo nafikiri zitanywewa kuliko maji, by the way, save water drink beers
 
Hivi inakukaje mtu anakunywa pombe anagombana na familia, anagombana na marafiki,anasababisha ajali lakini bado pombe aachi. Yaani haya maneno ninayaandika huku nikiwa nimeshika beer yangu ya baridi. Basi tutafanyaje, jamani ninawatakia sikukuu ya pasaka.
Mkuu kati ya vitu sifikirii kuacha ni pombe. Jamani pombe tamu sana. Wala usifadhaike ni mambo ya kawaida hayo.
 
Mkuu usiache nafikiri ukiwa umekunywa pombe vizuri ni kama umeenda mbinguni hivi, kwa muda fulani hv
 
Back
Top Bottom