MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ni nzuri, inaburudisha na kuondoa stress kwa wakati fulaniMimi sijui maana sijawahi kuionja! Na Mungu anisaidie nisionje!
nakunywa bombardierwewe unakunywa pombe gani .... Mimi nakunywa jiwe
wewe unakunywa pombe kali ndo maana unasababisha. Ajali.nakunywa bombardier
ha ha ha nahamia kwenye Dreamlinerwewe unakunywa pombe kali ndo maana unasababisha. Ajali.
Inaondoa stress but ikiisha kwa kichwa stress zinarudi mara tatuNi nzuri, inaburudisha na kuondoa stress kwa wakati fulani
bapa nilikunywa moja kubwa juzi ...sasa nilipoludi nyumbani ...wife wangu alijuta kunifahamu ..aahha pombe hizi Pamoja na yote ayo lakin siachi sasa sijui kweny pombe uwa wanawekamo nini.ha ha ha nahamia kwenye Dreamliner
nadhani inazalisha stress nyingine, inategemea mapito yako siku ya pombe yalikuajeInaondoa stress but ikiisha kwa kichwa stress zinarudi mara tatu
Hiyo kitu achana nayo kabisa, tena siku kama ya leo nafikiri zitanywewa kuliko maji, by the way, save water drink beersbapa nilikunywa moja kubwa juzi ...sasa nilipoludi nyumbani ...wife wangu alijuta kunifahamu ..aahha pombe hizi Pamoja na yote ayo lakin siachi sasa sijui kweny pombe uwa wanawekamo nini.
Hongeranadhani inazalisha stress nyingine, inategemea mapito yako siku ya pombe yalikuaje
ha ha ha, pata Fanta crate moja, mwambie bill ni ya kwanguHongera
Mkuu kati ya vitu sifikirii kuacha ni pombe. Jamani pombe tamu sana. Wala usifadhaike ni mambo ya kawaida hayo.Hivi inakukaje mtu anakunywa pombe anagombana na familia, anagombana na marafiki,anasababisha ajali lakini bado pombe aachi. Yaani haya maneno ninayaandika huku nikiwa nimeshika beer yangu ya baridi. Basi tutafanyaje, jamani ninawatakia sikukuu ya pasaka.
Hahahaha ha ha, pata Fanta crate moja, mwambie bill ni ya kwangu
Mkuu usiache nafikiri ukiwa umekunywa pombe vizuri ni kama umeenda mbinguni hivi, kwa muda fulani hvMkuu kati ya vitu sifikirii kuacha ni pombe. Jamani pombe tamu sana. Wala usifadhaike ni mambo ya kawaida hayo.
Maji ya Kilimanjaro dozen moja kwa dada tafadhaliHahaha
Asante... Mie natumia maji ya Kilimanjaro
EwaaaaaMaji ya Kilimanjaro dozen moja kwa dada tafadhali
KaribuEwaaaaa
uwe ubakunywa balimi ...aina Alcohol power kubwa ..nadhani nikama 5 alafu ukiwa high mahaba yanakuwaga heavy sana .Ewaaaaa